Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 38:9

Mwanzo 38:9 BHN

Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.

Soma Mwanzo 38

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 38:9