Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 50:24

Mwanzo 50:24 BHN

Baadaye Yosefu aliwaambia ndugu zake, “Mimi sasa ninakaribia kufa. Lakini Mungu hakika atawajia kuwasaidia. Atawatoa katika nchi hii na kuwapelekeni katika nchi aliyowaapia Abrahamu, Isaka na Yakobo.”

Soma Mwanzo 50

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 50:24