Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 53:5

Isaya 53:5 BHN

Lakini alijeruhiwa kwa sababu ya dhambi zetu, aliumizwa kwa sababu ya maovu yetu. Kwa kuadhibiwa kwake sisi tumepata uhai; kwa kupigwa kwake sisi tumepona.

Soma Isaya 53

Verse Image for Isaya 53:5

Isaya 53:5 - Lakini alijeruhiwa kwa sababu ya dhambi zetu,
aliumizwa kwa sababu ya maovu yetu.
Kwa kuadhibiwa kwake sisi tumepata uhai;
kwa kupigwa kwake sisi tumepona.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 53:5