Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 1:23-24

Yakobo 1:23-24 BHN

Yeyote anayesikiliza hilo neno lakini halitekelezi, huyo ni kama mtu anayejiangalia sura yake mwenyewe katika kioo. Hujiangalia mwenyewe, kisha huenda zake, na mara husahau jinsi alivyo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 1:23-24