Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Malaki 3:17-18

Malaki 3:17-18 BHN

Iliandikwa hivi: Mwenyezi-Mungu asema: “Hao watakuwa watu wangu. Watakuwa urithi wangu maalumu siku ile nitakapoinuka kufanya ninalokusudia. Sitawadhuru kama vile baba asivyomdhuru mwanawe anayemtumikia. Hapo ndipo mtakapotambua tena tofauti iliyopo kati ya waadilifu na waovu; naam, kati ya mtu anayemtumikia Mungu na asiyemtumikia.”

Soma Malaki 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Malaki 3:17-18