Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mika 1:1

Mika 1:1 BHN

Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Mika, mwenyeji wa Moreshethi, wakati Yothamu, Ahazi na Hezekia walipokuwa wafalme wa Yuda. Mika aliona mambo yote haya kuhusu Samaria na Yerusalemu.

Soma Mika 1