Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 22:22-23

Methali 22:22-23 BHN

Usimdhulumu maskini kwa kuwa ni maskini, wala usimnyime fukara haki yake mahakamani. Maana Mwenyezi-Mungu atawatetea; atawapokonya maisha yao wale watakaowadhulumu.

Soma Methali 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 22:22-23