Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 24:3-4

Zaburi 24:3-4 BHN

Nani atakayepanda mlima wa Mwenyezi-Mungu? Nani atakayekaa katika hekalu lake takatifu? Ni mtu wa matendo mema na moyo safi, asiyeuelekeza moyo wake katika upuuzi, wala kuapa kwa uongo.

Soma Zaburi 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 24:3-4