Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 81:13-14

Zaburi 81:13-14 BHN

Laiti watu wangu wangenisikiliza! Laiti Israeli angefuata njia yangu! Ningewashinda maadui zao haraka; ningenyosha mkono dhidi ya wadhalimu wao.

Soma Zaburi 81