Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 12:14-16

Ufunuo 12:14-16 BHN

Lakini mama huyo akapewa mabawa mawili ya tai apate kuruka mbali sana na hilo joka, mpaka mahali pake jangwani ambapo angehifadhiwa salama kwa muda wa miaka mitatu na nusu. Basi, joka likatapika maji mengi kama mto, yakamfuata huyo mama nyuma ili yamchukue. Lakini nchi ikamsaidia huyo mama: Ikajifunua kama mdomo na kuyameza maji hayo yaliyotoka kinywani mwa hilo joka.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 12:14-16