Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 12:5-6

Ufunuo 12:5-6 BHN

Kisha, mama huyo akajifungua mtoto wa kiume ambaye atayatawala mataifa yote kwa fimbo ya chuma. Lakini mtoto akanyakuliwa na kupelekwa kwa Mungu na kwenye kiti chake cha enzi. Huyo mama akakimbilia jangwani ambako Mungu alikuwa amemtayarishia mahali pa usalama ambapo angehifadhiwa kwa muda wa siku 1,260.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 12:5-6