Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 14:1

Ufunuo 14:1 BHN

Kisha, nikaona mlima Siyoni na Mwanakondoo amesimama juu yake; pamoja naye walikuwa watu 144,000 ambao juu ya paji za nyuso zao walikuwa wameandikwa jina la Mwanakondoo na jina la Baba yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 14:1