Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 5:5

Ufunuo 5:5 BHN

Kisha mmoja wa wale wazee akaniambia, “Usilie! Tazama! Simba wa kabila la Yuda, chipukizi wa Daudi, ameshinda. Yeye anaweza kuivunja mihuri yake saba na kukifungua hicho kitabu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 5:5