1 Samueli 2:21
1 Samueli 2:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu alimhurumia Hana naye akajaliwa kupata watoto wa kiume watatu na mabinti wawili. Mtoto Samueli akaendelea kukua mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 21 Samueli 2:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye BWANA akamwangalia Hana, naye akachukua mimba, akazaa watoto, watatu wa kiume na wawili wa kike. Naye huyo mtoto Samweli akakua mbele za BWANA.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 2