Isaya 12:2
Isaya 12:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu; Nitatumaini wala sitaogopa; Maana BWANA YEHOVA ni nguvu zangu na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu.
Shirikisha
Soma Isaya 12Isaya 12:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu ndiye mwenye kuniokoa, nitamtegemea yeye, wala sitaogopa; Mwenyezi-Mungu hunijalia nguvu; yeye mwenyewe ndiye aniokoaye.”
Shirikisha
Soma Isaya 12Isaya 12:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu; Nitatumaini wala sitaogopa; Maana BWANA YEHOVA ni nguvu zangu na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu.
Shirikisha
Soma Isaya 12