Isaya 12:4
Isaya 12:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na katika siku hiyo mtasema, Mshukuruni BWANA, liitieni jina lake; Yatangazeni matendo yake kati ya mataifa, Litangazeni jina lake kuwa limetukuka.
Shirikisha
Soma Isaya 12Isaya 12:4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Katika siku hiyo mtasema: “Mshukuruni BWANA, mliitie jina lake; julisheni miongoni mwa mataifa yale aliyoyafanya, tangazeni kuwa jina lake limetukuka.
Shirikisha
Soma Isaya 12