Methali 18:4
Methali 18:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Maneno yaweza kuwa chemchemi ya hekima; yenye kilindi kama bahari, kama kijito kinachobubujika.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maneno ya kinywa cha mtu ni kama maji ya vilindi; Kijito kibubujikacho; chemchemi ya hekima.
Shirikisha
Soma Methali 18