Methali 21:13
Methali 21:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayekataa kusikiliza kilio cha maskini, naye pia hatasikilizwa atakapolilia msaada.
Shirikisha
Soma Methali 21Methali 21:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Azibaye masikio yake asisikie kilio cha maskini, Yeye naye atalia, lakini hatasikiwa.
Shirikisha
Soma Methali 21