Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 21:22 - Linganisha Matoleo Yote

Methali 21:22 BHN (Biblia Habari Njema)

Mwenye hekima aweza kuteka mji wa wenye nguvu, na kuziporomosha ngome wanazozitegemea.

Shirikisha
Methali 21 BHN

Methali 21:22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Mwenye hekima huupandia mji wao wenye nguvu; Na kuziangusha nguvu za tumaini lao.

Shirikisha
Methali 21 SUV

Methali 21:22 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Mwenye hekima huupandia mji wao wenye nguvu; Na kuziangusha nguvu za tumaini lao.

Shirikisha
Methali 21 SRUV

Methali 21:22 NEN (Neno)

Mtu mwenye hekima huushambulia mji wa wenye nguvu, na kuangusha ngome wanazozitegemea.

Shirikisha
Methali 21 NEN