Methali 21:30
Methali 21:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakuna hekima, maarifa, wala mawaidha yoyote ya mtu, yawezayo kumshinda Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Methali 21Methali 21:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hapana hekima, wala ufahamu, Wala shauri, juu ya BWANA.
Shirikisha
Soma Methali 21