Methali 29:20
Methali 29:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Wamwona mtu apayukaye bila kufikiri? Mtu mpumbavu ni afadhali kuliko yeye.
Shirikisha
Soma Methali 29Methali 29:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Umemwona mtu mwenye kuhamaki katika maneno? Afadhali kumtumaini mpumbavu kuliko yeye.
Shirikisha
Soma Methali 29