Methali 29:22
Methali 29:22 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mtu mwenye hasira huchochea ugomvi, naye mtu mwenye hasira ya haraka hutenda dhambi nyingi.
Shirikisha
Soma Methali 29Methali 29:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenye ghadhabu huchochea ugomvi, mtu wa hasira husababisha makosa mengi.
Shirikisha
Soma Methali 29