Methali 29:23
Methali 29:23 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kiburi cha mtu humshusha, bali mtu mwenye roho ya unyenyekevu hupata heshima.
Shirikisha
Soma Methali 29Methali 29:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Kiburi cha mtu humporomosha mwenyewe, lakini mnyenyekevu wa roho atapata heshima.
Shirikisha
Soma Methali 29