Methali 29:25
Methali 29:25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kuwaogopa wanadamu huleta mtego; Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama.
Shirikisha
Soma Methali 29Methali 29:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Kuwaogopa watu ni kujitega mwenyewe, lakini anayemtumaini Mwenyezi-Mungu yu salama.
Shirikisha
Soma Methali 29Methali 29:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kuwaogopa wanadamu huleta mtego; Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama.
Shirikisha
Soma Methali 29