Zaburi 66:1-2
Zaburi 66:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote, Imbeni utukufu wa jina lake, Tukuzeni sifa zake.
Shirikisha
Soma Zaburi 66Zaburi 66:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi watu wote duniani mshangilieni Mungu! Imbeni juu ya utukufu wa jina lake, mtoleeni sifa tukufu!
Shirikisha
Soma Zaburi 66