Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

40 Siku pamoja na YesuMfano

40 Siku pamoja na Yesu

SIKU 33 YA 40

Mazungumzo yaliyofanyika chumba cha juu

Luka 22:26-38

  1. Je, ni nani aliye mkubwa?    
  2. Ni nani aliye kiongozi katika Ufalme?       
  3. Ni ipi iliyo kazi kubwa kwa viongozi wa Ufalme?
  4. Ni kwa jinsi gani mimi nakubaliana na viwango vya Yesu kwa ajili ya ukuu katika Ufalme wake?
siku 32siku 34

Kuhusu Mpango huu

40 Siku pamoja na Yesu

Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?

More

Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/