Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 1Mfano

Soma Biblia Kila Siku 1

SIKU 14 YA 31

Mwanzoni yule mwanamke Msamaria alifikiri Yesu yu Myahudi wa kawaida tu (m.9 na 12). Hatua ya pili alifikiri Yesu yu nabii anayeweza kumwongoza katika mambo kawaida ya kidini (m.19-20). Hatimaye alimtambua Yesu kuwa ndiye Masihi. Hapo yule mwanamke Msamaria akasahau kabisa kiu yake ya kimwili, maana alikuwa amepata maji ya uzima kutoka kwa Yesu na kutaka tu kumshuhudia yeye (m.28-29). Nawe unaweza kumshuhudia Yesu vivyo hivyo kuwa ndiye mwokozi wako aliyekusaidia na kiu yako ya kiroho?

siku 13siku 15

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 1

Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

More

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

Mipango inayo husiana