Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 1Mfano

Soma Biblia Kila Siku 1

SIKU 5 YA 31

Ushuhuda wa wazi wa Yohana kwamba Yesu ni Mwana Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu, na unyenyekevu wake binafsi kwa Yesu, uliamsha hamu ya wanafunzi wake kumtafuta Yesu. Soma m.37. Je, unafahamu waliona nini kwa Yesu hawa wawili? Waliona uzuri uliowafanya wasinyamaze, na hawakunyamaza. Andrea akampeleka Petro, ndugu yake, kwa Yesu. Filipo, jirani yao, naye akamleta Nathanaeli kwa Yesu. Twende kwa Yesu, mimi na wewe. Ameahidi kutufungulia malango ya mbinguni (ling. m.51).

siku 4siku 6

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 1

Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

More

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

Mipango inayo husiana