Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 1Mfano

Soma Biblia Kila Siku 1

SIKU 6 YA 31

Japo ana uweza na mamlaka zaidi ya wote, mfalme Yesu alifunuliwa katika hali ya unyenyekevu mkuu sana. Mfalme Herode na serikali yake walifadhaishwa sana juu ya uwepo wa mfalme mwingine, wakisikia ni sawa na mapinduzi ya mamlaka yao. Kwa hiyo Herode alifanya mkakati wa kumwondoa huyu mfalme mpya kupitia mamajusi. Lakini kwa Yesu kuzaliwa mahali wengi wasingefikiria mfalme aweza kuzaliwa, na kwa Mungu kuwaasa mamajusi wasirudi kwa Herode, kusudi la Mungu linalindwa na kufanyika (m.6).

Andiko

siku 5siku 7

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 1

Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

More

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

Mipango inayo husiana