Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 02/20Mfano

Soma Biblia Kila Siku 02/20

SIKU 16 YA 29

Mfalme Ahasuero alikuwa shujaa mwenye nguvu, na Mordekai akapata kibali kwake. Kwa maana kila ajikwezaye atadhiliwa, naye ajidhiliye atakwezwa (Lk 14:11). Kumcha Mungu na kumtegemea ni jambo jema. Mordekai alipandishwa cheo hadi kushika nafsi ya pili baada ya mfalme. Pia miongoni mwa Wayahudi alikuwa mkuu. Walimpenda na kumheshimu, kwa sababu hakujifikiria bali aliwatumikia wote kwa kuwapatia hali njema. Je, unatumia nafasi uliyo nayo kwa ajili ya kuwa bwana au mtumishi? Mungu anakutazamaje?

siku 15siku 17

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 02/20

Soma Biblia Kila Siku 02/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Esta. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu.

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

Mipango inayo husiana