MWANGA Kuvutiwa Maishani Na Mwanga Ajabu Wa MunguMfano
Tafakari, ungekua mhusika katika maandiko haya je, ungekua mhusika yupi?
Ungekua mhusika huyo, ungehisi vipi na kufikiria nini kuhusu Yesu Kristo?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Kila siku unaposoma, angazia, na utekeleze Neno la Mungu kwa maisha yako, utakuwa na uwezo zaidi wa kutambua miangaza bandia ya adui, bakia kwa njia iliyo angaziwa na Mungu, na ung’ae kwa mwangaza mkali kwa ajili ya Kristo, jamaa yako na jamii.
More
Tunapenda hushukuru NBS2GO na Rebecca Davie kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://nbs2go.com/index.php/swahili/