Mpango Bora wa KusomaMfano
Chagua vyema Chagua kuishi na jina jema Kwa hivyo maisha ya uadilifu yanafanana na nini? Daudi anatupatia picha kamili ya uadilifu katika Zaburi 51
Andiko
Kuhusu Mpango huu
unajisihisi umezidiwa, kutoridhika, na kukwama maishani? Je unatamani maisha yako ya kila siku yaboreke? Neno la Mungu ni mwongozo kwa siku njema. Katika mpango huu wa siku 28, utagundua njia kutoka kuishi tu maisha mema, hadi kuishi maisha mema ambayo Mungu amekutazamia.
More
We would like to thank Pastor Craig Groeschel and Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church