Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mpango Bora wa KusomaMfano

The Better Reading Plan

SIKU 1 YA 28

Lazima tuachilie mazuri ili tunyakue yaliyo bora zaidi Kuishi maisha bora huanza kwa kuelewa jambo hili moja muhimu kutoka Zaburi 84: bora ni siku moja na Mungu kuliko maelfu kwingineko. Njia zake ni bora zaidi kuliko njia zetu. Upendo wake ni bora kuliko maisha. Baraka zake ni bora zaidi ya kumiliki vitu vya kimwili. Wiki hii utasoma Neno la Mungu kuhusu ni nini maana ya kweli kuwa na siku na Mungu.
siku 2

Kuhusu Mpango huu

The Better Reading Plan

unajisihisi umezidiwa, kutoridhika, na kukwama maishani? Je unatamani maisha yako ya kila siku yaboreke? Neno la Mungu ni mwongozo kwa siku njema. Katika mpango huu wa siku 28, utagundua njia kutoka kuishi tu maisha mema, hadi kuishi maisha mema ambayo Mungu amekutazamia.

More

We would like to thank Pastor Craig Groeschel and Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church