Mpango Bora wa KusomaMfano
Lazima tuachilie mazuri ili tunyakue yaliyo bora zaidi Ili kuishi maisha bora, ni vyema kuwa na uchache wa kile kisichojalisha na wingi wa kile kinachojalisha Solomoni anasema katika Mhubiri 6, Ni afadhali utulivu, kuliko konzi mbili pamoja na tabu na kujilisha upepo, "Maanake ni vyema kuishi maisha ya unyenyekevu. Wiki hii utajifunza ni nini Neno la Mungu linasema kuhusu umuhumi wa kuishi na konza moja badala ya mbili.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
unajisihisi umezidiwa, kutoridhika, na kukwama maishani? Je unatamani maisha yako ya kila siku yaboreke? Neno la Mungu ni mwongozo kwa siku njema. Katika mpango huu wa siku 28, utagundua njia kutoka kuishi tu maisha mema, hadi kuishi maisha mema ambayo Mungu amekutazamia.
More
We would like to thank Pastor Craig Groeschel and Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church