Mpango Bora wa KusomaMfano
Unapojitahidi kuishi kila mara kwa ufahamu wa uwepo wa Mungu, tamani uwepo wake kama Daudi alivyo tamani kuishi katika uwe po wa Mungu katika Zaburi 62 na 27
Andiko
Kuhusu Mpango huu
unajisihisi umezidiwa, kutoridhika, na kukwama maishani? Je unatamani maisha yako ya kila siku yaboreke? Neno la Mungu ni mwongozo kwa siku njema. Katika mpango huu wa siku 28, utagundua njia kutoka kuishi tu maisha mema, hadi kuishi maisha mema ambayo Mungu amekutazamia.
More
We would like to thank Pastor Craig Groeschel and Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church