Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku Machi 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Machi 2021

SIKU 23 YA 31

Wewe unaitwa kuangalia namna bora ya kutumia karama uliyopewa. Umekarimiwa ili uitumie kumtumikia Mungu na kuwezesha ukuaji wa kiroho wa jamii ya watu wa Mungu. Karama yako ya kiroho haiko kukunufaisha wewe binafsi na mafanikio yako. Karama kuu ni zile ambazo zinatumika kwa ajili ya kuufaidisha mwili wote wa Kristo, yaani Kanisa lake. Kwa mfano, unabii ni bora kuliko kunena kwa lugha ambayo ndiyo ipendwayo zaidi na wakristo hata leo. Karama iliyo bora zaidi ni upendo.

siku 22siku 24

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Machi 2021

Soma Biblia Kila Siku Machi 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kuishukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

Mipango inayo husiana