Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku Machi 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Machi 2021

SIKU 28 YA 31

Yohana anasimulia vizuri matayarisho ya kifo cha Yesu. Pilato hakuona kosa la Yesu, lakini alimwacha mikononi mwa Wayahudi wamsulubishe ili kumheshimu Kaisari na ili kutunza mahusiano na Wayahudi. Ni vema kutenda kweli ili kuwa na mahusiano mazuri na Mungu badala ya wanadamu. Pia ni vema kujua Yesu aliteswa na kuuawa kwa ajili ya dhambi zetu ili atuokoe. Tuepuke kutenda dhambi ili tusimsulubishe Yesu mara ya pili, kwani yeye ni kimbilio na nguvu, na msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso(Zab 46:1).

siku 27siku 29

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Machi 2021

Soma Biblia Kila Siku Machi 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kuishukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

Mipango inayo husiana