Hadithi ya PasakaMfano
Kusulubiwa Kwa Yesu
Yesu apigiliwa msumari msalabani kule Golgotha.
Swali 1: Maneno ya kwanza ya Yesu msalabani yaliangazia kusamehewa kwa waliyo mtesa.
Nini, kama kunalo lolote, tunafunzwa na hili kuhusu kutenda waliotutesa?
Swali 2: Unaweza kuelezeaje mtu ambaye anahitaji kuelewa umuhimu wa kusulubiwa kwa
Yesu?
Swali 3: Askari walitaka sana vitu vya Yesu bali si yeye mwenyewe. Je hiyo ni hali ya watu siku
hizi?
Kuhusu Mpango huu
Kusulubishwa na kufufuka kwa Yesu kumeelezwa katika injili zote nne. Likizo hii ya Pasaka, soma kuhusu jinsi Yesu alivyovumilia usaliti, mateso na kudhalilishwa msalabani kabla ya kubadilisha dunia kupitia tumaini lililotolewa kwa ufufuo wake. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg