Hadithi ya PasakaMfano
Yesu Msalabani
Askari wamdihaki Yesu akiwa msalabani, na mhalifu mmoja aongea na Yesu.
Swali 1: Ni siku gani maana halisi ya kifo cha Yesu ilianza kuwa na maana kwako?
Swali 2: Ni ukweli gani unayopata kwenye maneno ya kuhani mkuu, “Aliokoa wengine, lakini
hawezi kujiokoa?”
Swali 3: Mwanafunzi wa pekee pale msalabani alikuwa Yohana. Wengine walikuwa wametoroka
kuokoa maisha yao. Unadhani wewe ungekuwa wapi siku hiyo na kwa nini?
Kuhusu Mpango huu
Kusulubishwa na kufufuka kwa Yesu kumeelezwa katika injili zote nne. Likizo hii ya Pasaka, soma kuhusu jinsi Yesu alivyovumilia usaliti, mateso na kudhalilishwa msalabani kabla ya kubadilisha dunia kupitia tumaini lililotolewa kwa ufufuo wake. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg