Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hadithi ya PasakaMfano

Hadithi ya Pasaka

SIKU 3 YA 16

Maombi Katika Bustani

Yesu aombea mapenzi katika bustani. Yuda amsaliti na Yesu anafungwa.

Swali 1: Tutatumiaje maoni ya Yesu katika maombi na sio ya Petero?

Swali 2: Mungu alijibu kwa kutokutoa njia nyingine hata ingawa Yesu aliomba mara tatu.

Unaweza kufanya nini ikiwa jibu kwa maombi yako ya mara kwa mara ni “LA”

Swali 3: Ni vigumu kiasi kipi kwako kukubali kwamba sio uwezo wako bali yake itendeke katika

maisha yako?

siku 2siku 4

Kuhusu Mpango huu

Hadithi ya Pasaka

Kusulubishwa na kufufuka kwa Yesu kumeelezwa katika injili zote nne. Likizo hii ya Pasaka, soma kuhusu jinsi Yesu alivyovumilia usaliti, mateso na kudhalilishwa msalabani kabla ya kubadilisha dunia kupitia tumaini lililotolewa kwa ufufuo wake. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.

More

Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg

Mipango inayo husiana