Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hadithi ya PasakaMfano

Hadithi ya Pasaka

SIKU 4 YA 16

Kesi ya Yesu Yaanza

Yesu achunguzwa na viongozi wa wayahudi.

Swali 1: Unaamuaje wakati unapo hitaji kunyamaza kimya kuhusi imani yako na wakati

unapohitaji kuongea juu ya imani hiyo?

Swali 2: Unafikiri sababu ya Petro kufuata kwa umbali ilikuwa nini na je, sisi pia hufanya hivyo

wakati wa kumfuata Yesu?

Swali 3: Tunaweza kujifunza nini kutokana na Yesu kukabiliana na udhalimu mikoni mwa

Mungu?

siku 3siku 5

Kuhusu Mpango huu

Hadithi ya Pasaka

Kusulubishwa na kufufuka kwa Yesu kumeelezwa katika injili zote nne. Likizo hii ya Pasaka, soma kuhusu jinsi Yesu alivyovumilia usaliti, mateso na kudhalilishwa msalabani kabla ya kubadilisha dunia kupitia tumaini lililotolewa kwa ufufuo wake. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.

More

Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg

Mipango inayo husiana