Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hadithi ya KrismasiMfano

Hadithi ya Krismasi

SIKU 2 YA 5

Yosefu Kaoa Maria

Malaika amuambia Yosefu kuwa uja uzito wa Maria ni nia ya Mungu.

Swali 1: Je, utafanyaje kama mchumba wako alipatikana kuwa mjamzito na haukuwa baba?

Swali 2: Je, unafikiri Mungu bado hutumia ndoto kuongea nasi? Kwani? Kwa nini sivyo tena?

Swali 3: Utiifu wa Yusufu kwa Mungu katika hali hii isiyo ya kawaida inatufundisha nini kuhusu

utiifu wetu hata wakati hatuelewi vyema?

siku 1siku 3

Kuhusu Mpango huu

Hadithi ya Krismasi

Krismasi hii, rejelea hadithi ya kuzaliwa kwa Yesu katika Injili Takatifu ya Mathayo na Luka. Unaposoma, video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.

More

Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg

Mipango inayo husiana