Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hadithi ya KrismasiMfano

Hadithi ya Krismasi

SIKU 5 YA 5

Yosefu, Maria Na Mtoto Yesu Wakimbilia Misri

Yosefu, Maria na Yesu waenda misri kwasababu Herodi anataka kumuangamiza Yesu.

Swali 1: Ni nini unafikiri kinafanya watu watende kwa Yesu kama vile Herodi alitenda na kujaribu

kumangamiza Yesu?

Swali 2: Kama vile Mungu alivyomlinda Yusufu na jamaa yake, je, anatulinda kwa njia gani siku

hizi?

Swali 3: Unaweza kuelezea kuhusu wakati Mungu alikuhifadhi katika hali ngumu?

siku 4

Kuhusu Mpango huu

Hadithi ya Krismasi

Krismasi hii, rejelea hadithi ya kuzaliwa kwa Yesu katika Injili Takatifu ya Mathayo na Luka. Unaposoma, video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.

More

Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg

Mipango inayo husiana