1
Yohane 13:34-35
Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza
Nawapeni amri mpya: pendaneni; pendaneni kama nilivyowapenda nyinyi. Mkipendana, watu wote watajua kwamba nyinyi ni wanafunzi wangu.”
సరిపోల్చండి
Yohane 13:34-35 ని అన్వేషించండి
2
Yohane 13:14-15
Basi, ikiwa mimi niliye Bwana na Mwalimu nimewaosha nyinyi miguu, nanyi pia mnapaswa kuoshana miguu. Nimewapeni mfano, ili nanyi pia mfanye kama nilivyowafanyieni.
Yohane 13:14-15 ని అన్వేషించండి
3
Yohane 13:7
Yesu akamjibu, “Huelewi sasa ninachofanya lakini utaelewa baadaye.”
Yohane 13:7 ని అన్వేషించండి
4
Yohane 13:16
Kweli nawaambieni, mtumishi si mkuu kuliko bwana wake, wala mtume si mkuu kuliko yule aliyemtuma.
Yohane 13:16 ని అన్వేషించండి
5
Yohane 13:17
Basi, ikiwa mwayajua hayo, mtakuwa na heri mkiyatekeleza.
Yohane 13:17 ని అన్వేషించండి
6
Yohane 13:4-5
Basi, aliondoka mezani, akaweka kando vazi lake, akachukua kitambaa na kujifunga kiunoni. Kisha akatia maji katika bakuli, akaanza kuwaosha wanafunzi wake miguu na kuipangusa kwa kile kitambaa alichojifungia.
Yohane 13:4-5 ని అన్వేషించండి
హోమ్
బైబిల్
ప్రణాళికలు
వీడియోలు