1
Mwanzo 9:12-13
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mungu akasema, “Hii ni ishara ya agano ninalofanya kati yangu na ninyi na kila kiumbe hai kilicho pamoja nanyi, agano kwa vizazi vyote vijavyo: Nimeweka upinde wangu wa mvua mawinguni, nao utakuwa ishara ya agano nifanyalo kati yangu na dunia.
So sánh
Khám phá Mwanzo 9:12-13
2
Mwanzo 9:16
Wakati wowote upinde wa mvua unapotokea mawinguni, nitauona na kukumbuka agano la milele kati ya Mungu na viumbe vyote vilivyo hai vya kila aina duniani.”
Khám phá Mwanzo 9:16
3
Mwanzo 9:6
“Yeyote amwagaye damu ya mwanadamu, damu yake itamwagwa na mwanadamu; kwa kuwa katika mfano wa Mungu, Mungu alimuumba mwanadamu.
Khám phá Mwanzo 9:6
4
Mwanzo 9:1
Ndipo Mungu akawabariki Nuhu na wanawe, akiwaambia, “Zaeni, mkaongezeke kwa idadi, na mkaijaze tena dunia.
Khám phá Mwanzo 9:1
5
Mwanzo 9:3
Kila kitu chenye uhai kiendacho kitakuwa chakula chenu. Kama vile nilivyowapa mimea mbalimbali, sasa nawapa kila kitu.
Khám phá Mwanzo 9:3
6
Mwanzo 9:2
Wanyama wote wa nchi, na ndege wote wa angani, na kila kiumbe kinachotambaa juu ya ardhi, na samaki wote wa baharini wamekabidhiwa mikononi mwenu, nao watawaogopa na kuwahofu.
Khám phá Mwanzo 9:2
7
Mwanzo 9:7
Bali ninyi, zaeni mwongezeke kwa idadi; zidini duniani na kuijaza.”
Khám phá Mwanzo 9:7
Trang chủ
Kinh Thánh
Kế hoạch
Video