1
Mwanzo 7:1
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Ndipo Mwenyezi Mungu akamwambia Nuhu, “Ingia katika safina, wewe na jamaa yako yote, kwa sababu katika kizazi hiki nimeona ya kuwa wewe ni mwenye haki.
Ṣe Àfiwé
Ṣàwárí Mwanzo 7:1
2
Mwanzo 7:24
Maji yakaifunika dunia kwa siku mia moja na hamsini.
Ṣàwárí Mwanzo 7:24
3
Mwanzo 7:11
Katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa pili, mwaka wa mia sita wa maisha ya Nuhu, siku hiyo chemchemi zote za vilindi zilibubujika kwa nguvu, na malango ya mafuriko ya mbinguni yakafunguliwa.
Ṣàwárí Mwanzo 7:11
4
Mwanzo 7:23
Kila kitu chenye uhai juu ya uso wa nchi kilifutiliwa mbali; watu, wanyama pori, viumbe vinavyotambaa ardhini, na ndege warukao angani wakafutiliwa mbali toka duniani. Waliobaki ni Nuhu peke yake na wale waliokuwa pamoja naye ndani ya safina.
Ṣàwárí Mwanzo 7:23
5
Mwanzo 7:12
Mvua ikanyesha juu ya dunia siku arobaini usiku na mchana.
Ṣàwárí Mwanzo 7:12
Ilé
Bíbélì
Àwon ètò
Àwon Fídíò