Luka 14:13-14
Luka 14:13-14 SRB37
Ila unapofanya karamu uwaalike wakiwa na wavilema na viwete na vipofu! Ndipo, utakapokuwa mwenye shangwe, kwani hawana cha kukulipa. Maana utalipwa, waongofu watakapofufuka.