Luka 21:9-10

Luka 21:9-10 SRB37

Nanyi mtakaposikia vita na mainukiano, msitukutike! Kwani hayo sharti yawepo kwanza; lakini mwisho hauji upesi. Ndipo alipowaambia: Watainukiana taifa na taifa, tena wafalme na wenzao wafalme.