1
Luka MT. 16:10
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Aliye mwaminifu katika kile kilicho kidogo huwa mwaminifu na katika kile kilicho kikubwa: nae aliye mdhalimu katika kile kilicho kidogo, huwa mdhalimu na katika kile kilicho kikubwa.
Qhathanisa
Hlola Luka MT. 16:10
2
Luka MT. 16:13
Hakuna mtumishi awezae kuwatumikia bwana wawili: maana au atamchukia huyu, na kumpenda huyu; ama atashikamana na huyu, na kumdharau huyu. Hamwezi kumtumikia Mungu na Mamona.
Hlola Luka MT. 16:13
3
Luka MT. 16:11-12
Bassi, ikiwa hamkuwa waaminifu katika mamona ya udhalimu, nani atakaewaaminisheni mali ya kweli? Na ikiwa hamkuwa waaminifu katika mali ya mtu mwingine, nani atakaewapeni mali iliyo yenu wenyewe?
Hlola Luka MT. 16:11-12
4
Luka MT. 16:31
Akamwambia, Wasiposikia Musa na manabii, ajapoondoka mtu katika wafu, hawatashawishwa.
Hlola Luka MT. 16:31
5
Luka MT. 16:18
Killa amwachae mkewe na kumwoa mwingine, amezini; nae amwoae yeye aliyeachwa na mumewe azini.
Hlola Luka MT. 16:18
Ikhaya
IBhayibheli
Amapulani
Amavidiyo