1
Luka MT. 17:19
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Akamwambia, Simama; enenda zako; imani yako imekuokoa.
Qhathanisa
Hlola Luka MT. 17:19
2
Luka MT. 17:4
na akikosa marra saba katika siku moja, akakurudia marra saba, akisema, Natubu, msamehe.
Hlola Luka MT. 17:4
3
Luka MT. 17:15-16
Mmoja wao akiona ya kuwa amepona, akarudi akimtukuza Mungu kwa sauti kuu; akaanguka kufudifudi miguuni pake, akimshukuru; nae ni Msamaria.
Hlola Luka MT. 17:15-16
4
Luka MT. 17:3
Jihadharini: ndugu yako akikosa, mwonye; akitubu, msamehe
Hlola Luka MT. 17:3
5
Luka MT. 17:17
Yesu akajiliu, akasema, Si wote kumi waliotakasika? Wale tissa wa wapi?
Hlola Luka MT. 17:17
6
Luka MT. 17:6
Bwana akasema, Mkiwa na imani kama punje ya kharadali, mngeuambia mzambarau huu, Ngʼoka ukapandwe baharini, nao ungewatiini.
Hlola Luka MT. 17:6
7
Luka MT. 17:33
Mtu ye yote atakaeisalimisha roho yake ataiangamiza, na mtu ye yote atakaeitoa ataihifadhi.
Hlola Luka MT. 17:33
8
Luka MT. 17:1-2
AKAWAAMBIA wanafunzi wake, Mambo ya kukosesha hayana buddi kutokea, lakini ole wake mtu yule ayaletae! Ingemfaa huyu zaidi jiwe la kusagia litiwe shingoni pake akatupwe baharini, kuliko kumkosesha mmojawapo wa hawa wadogo.
Hlola Luka MT. 17:1-2
9
Luka MT. 17:26-27
Na kama ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo itakavyokuwa na katika siku za Mwana wa Adamu. Walikuwa wakila, wakinywa, wakioa, wakiozwa, hatta siku ile aliyoingia Nuhu katika safina, gbarika ikafika, ikawaangamiza wote.
Hlola Luka MT. 17:26-27
Ikhaya
IBhayibheli
Amapulani
Amavidiyo